Tamthilia ya kijiba cha moyo kama fumbo

  • Sophie Okwena

Abstract

Makala hii inashughulikia fumbo lililomo katika tamthilia ya Kijiba cha Moyo. Kijiba cha Moyo (2009) ni tamthilia ya kifalsafa. Msuko wake unashabihiana na ule wa Mashetani (1971), tamthilia ya kifalsafa ya Ebrahim Hussein. Kijiba cha Moyo ndiyo tamthilia ya tatu ya Timothy Arege. Arege ni mtunzi chipukizi ambaye ameiandika tamthilia ya Kijiba cha Moyo kwa umahiri wa hali ya juu. Ni tamthilia changamano zaidi ambayo imebeba masuala mazito. Tamthilia hii inaangazia matatizo ya bara la Afrika ambayo yameletwa na Waafrika wenyewe kwa sababu ya kutojithamini na kutojiamini. Tamthilia ya Kijiba cha Moyoiliweza kushinda tuzo ya fasihi bora ambayo ilitolewa na kampuni ya Uchapishaji ya Jomo Kenyatta Foundation mwaka 2011.

 

References

Alembi, E. (1999). Understanding Poetry. Nairobi: Acacia Printers Ltd.
Arege, T. (2007). Chamchela. Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation.
________ (2009). Mstahiki Meya. Nairobi: Vide Muwa Publishers Limited.
________(2009). Kijiba cha Moyo. Nairobi: Longhorn Publishers.
Gibbe, R. (1978). “Dhima ya Mhakiki”. MULIKA Na 12. Dar es Salaam: TUKI.
Gleeson, P. (1968). Language and Culture. Ohio USA: Charles E.
Merrill Publishing Company.
Holman, C. (1972). A Handbook to Literature. New York: The Bobbs Merril Co.
___________(1994). A Concise Glossary of Contemporary Literary Theory.
Keesy, D. (1998). Contexts for Criticism. California: Mayfield Publishing Company.
Khatib, M. (1999). “Tamathali za Usemi” katika MULIKA na. 25. Dar es Saalam:
TUKI.
King’ei, K. (1987). “Usanifu wa lugha ya Kiswahili katika Uandishi wa Ebrahim
Hussein” Katika Mulika na. 19. Dar es Salaam: TUKI.
_________(2000). “Stunted Growth of Kiswahili Literature: Causes and Remedy”
katika KISWAHILI JUZUU 63. Dar es Salaam: TUKI.
Kramsch, C. (1993). Context and Culture in Language Teaching. New York: OUP
Makward, E. (1972). Contemporary African Literature. New York:
Random House.
Masoko na Mdee (1984). MULIKA JUZUU 16. Dar es Salaam: Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam
Massamba, D. (1983). “Utunzi wa Kiswahili”, katika Makala ya Semina Kimataifa ya Waandishi wa Kiswahili III: Fasihi. Dar es Salaam: TUKI.
Matteru, M. (1987). “Tanzu na Fani za Fasihi” katika MULIKA na 18.
Dar es Salaam: TUKI.
Mbunda, M. (1993). Misingi ya Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: East Africa
Educational Publishers Ltd
Miruka, O. (1999). Oral Literature. Nairobi. Acacia Publishers Ltd.
Mlacha, S. na Hurskainen, A. (1985). Lugha, Utamaduni na Fasihi Simulizi ya Kiswahili. Dar es Saalam: TUKI.
Mlama, P. (1985).“Utunzi wa Tamthilia Katika Mazingira ya Tanzania”. Fasihi. Dar es Salaam: TUKI.
Mohamed, S. A (1995). Kunga za Nathari ya Kiswahili. Nairobi:
East Africa Educational Publishers.
Mohammed, S. (1986). “Tamathali za Semi za Kiswahili” katika MULIKA na. 18.
Dar es Salaam: TUKI.
Njogu na Chimerah (1999). Ufundishaji wa Fasihi Nadharia na Mbinu.
Nairobi: JKF.
Senkoro, F.E.M. (1982). Fasihi. Dar es Salaam : Press and Publishing Centre.
_____________ (1987). Fasihi na Jamii. Dar es Salaam: Press and
Publicity Centre.
______________(2007). (Mh) Lugha na Fasihi ya Kiswahili Afrika Mashariki.
Dar es Salaam: Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki.
Topan, F.M. (1971). “Michezo ya Kuigiza.” katika Topan (Mhr). Uchambuzi wa Maandishi ya Kiswahili. Dar es Salaam: OUP.
__________ (1977). Uchambuzi wa Maandishi ya Kiswahili. Dar es Salaam:
OUP. TUKI (2004) Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam.OUP.
Wafula, R. (1999). Uhakiki wa Tamthilia. Historia na Maendeleo yake.
Nairobi: JKF LTD.
_____________(2004). “ Sura Mbalimbali za Nadharia za Uhakiki katika Usomaji na Uhakiki wa Fasihi” (Makala ya Semina Chuo Kikuu cha Kenyatta)
Wafula, R. na Njogu, K. (2007). Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Nairobi:
Routledge Publishers.
Wamitila, K.W. (2002). Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: Phonex Publishers.
Published
2016-11-07