Mtunzi na muktadha wa lugha yake

  • Sophie Okwena Omwega

Abstract

Lugha ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi. Fasihi ni sanaa bunifu ambayo hutumia lugha katika kuyasimulia maisha ya wanajamii kwa ujumla. Baadhi ya matumizi ya lugha ni ya moja kwa moja na mengine huwa fiche. Mtunzi hutumia lugha fiche ambayo wakati mwingine huweza kuleta utata katika maana. Mwanafasihi hutumia ubunifu katika kuteua, kupanga na kunadi tajriba za kila aina za maisha. Kwa hali hii, fasihi huangaliwa kama sanaa inayotumia lugha katika kueleza tajriba za wanajamii. Hivyo, kazi ya fasihi haiwezi kueleweka bila lugha kwa sababu lugha ndicho kigezo muhimu cha kupima ufanisi wa kazi ya fasihi. Kazi ya sanaa huwa na sehemu kama ploti, dhamira na wahusika, lakini  bila  lugha haziwezi kuwasilishwa vilivyo kwa sababu sehemu hizi hupewa umbo kupitia lugha. Hivyo, Makala hii inadhihirisha mchango wa utamaduni, mazingira na tajriba ya mtunzi katika matumizi yake ya lugha.

References

Bates, E. (1976). Language and Context. NewYork: NewYork Academic Press.
Bloom, H. (1973). Anxiety of Influence: A Theory of Poetry. USA: OUP.
Chapman, R. (1973). Linguistics and Literature: An introduction to Literal Stylitics. London: Edward Arnold publishers Ltd.(1982) The Language of English Literature. London Edward Arnold Publishers Ltd.
Cumperz, J. (1972). (Mh) Directions in Sociolinguistics The Ethnography
of Communication. USA: Holt Rinehart and Winston.
Gerald, A. (1981). African Language Literatures. Assex: Longman.
Gerald, A. (1981). African Language Literatures. Assex: Longman.
Halliday, M.A na Hassan, R. (1989). Language., Context and Text. New York:Oxford University Press
Hirsch, E, D. Jr (1960). Objective Interpretation.USA: PMLA.(1976). The Aims of Interpretation. Chicago: Chicago
University Press.
Keesy, D. (1998) Contexts for Criticism. California: Mayfield Publishing Company.
Kramsch, C. (1993) Context and Culture in Language Teaching. New York: OUP.
Leech, G.N. (1969). Linguistic Guide to English Poetry. London: Longman._(2008). Language and Literature: Style and Foregoing. London: Pearson Education Ltd.
Lukacs, G. (1962). The Meaning of Contemporary Realism. London:
Merlin Press. (1979). Writer and Critic and other Essays. London: Merlin Press.
Newton, K. (1990). Interpreting the Text: A Critical Introduction to the Theory and Practice of Literary Interpretation. London: Harvester.
Saville-Troike, M. (1982) The Ethnography of Communication. New York:
Blackwell Publishing Ltd
Published
2016-11-07