Mwitikio wa msomaji katika riwaya ya siku ya watenzi wote.

  • Benson Sululu Simiyu MWANAFUNZI WA UZAMIFU IDARA YA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA KENYATTA

Abstract

Makala hii itajadili jinsi nadharia ya upokezi au mwitikio wa msomaji, inaweza kutumiwa katika kuifasiri riwaya ya Siku ya Watenzi wote. Nadharia ya upokezi itafafanuliwa kwa kuzingatia waasisi wake na mihimili inayoijenga. Muhtasari wa riwaya ya Siku ya Watenzi Wote utatolewa. Makala itaangazia jinsi mihimili ya nadharia ya upokezi inaweza kutumiwa kuihakiki riwaya hii. Uchanganuzi utafanywa kwa kudhihirisha namna ambavyo maswala ya msomaji wa kukisiwa, msomaji aliyelengwa, msomaji wa kiwango bora zaidi; ambayo ndiyo miongoni mwa nguzo za nadharia ya upokezi, yamejitokeza katika riwaya ya Siku ya Watenzi Wote. Aidha, njia mbalimbali za kusoma kazi ya fasihi na namna ambavyo maarifa ya kimsingi aliyonayo msomaji huathiri namna ambavyo ataifasiri matini zitajadiliwa. Makala itahitimishwa kwa kubainisha ufaafu wa nadharia ya upokezi katika kumwezesha msomaji wa riwaya ya Siku ya Watenzi Wote kuweza kuielewa vyema zaidi.

Author Biography

Benson Sululu Simiyu, MWANAFUNZI WA UZAMIFU IDARA YA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA KENYATTA

MWANAFUNZI WA UZAMIFU IDARA YA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA KENYATTA  

References

Fish, S.1980. “Is there a text in this class? The Authority of Interpretive Communities.” Combrige, M.A: Harvard. Unpublished.
Iser, W.1978. The Act of Reading: A Theory of Aesthetic Response. Baltimore: John Hopkins University Press.
Njogu, k. & Chimera, R.1999. Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.
Robert, S .1968. Siku ya Watenzi Wote. Nairobi: Thomas Nelson & Sons Ltd.
Rosenblatt, L. 1938. Literature as Exploration. New York : Modern Language Association.
Rosenblatt, L. 1969. “Towards a Trasnsactional Theory of Reading”, in Journal of Reading Behavior, I. Pg. 31-51.
TUKI. 2004. Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: TUKI.
Wafula, R.M & Njogu, K. 2007. Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.
Wimsatt, W.K. & Beardsley, M.C. 1954. “The International Fallacy” in The verbal Icon. Kentucky: University of Kentucky Press.
Published
2016-07-05